MTAALAMU WA TAASISI YA TPRI BW.MANENO CHIDEGE AKITOA MAFUNZO KWA WANAKIJIJI WA CHEMBA MKOANI DODOMA KUHUSU UDHIBITI WA MDUDU MWARIBIFU WA MMEA SHAMBANI AJULIKANAYE KAMA KIWAVI JESHI. |
MTAALAMU WA TAASISI YA TPRI BW MANENO CHILEGE AKIWAELEKEZA WANAKIJIJI WA CHEMBA MKOANI DODOMA JINSI YA KUTUMIA MTEGO WA KUWAUA WADUDU WAHARIBIFU WA MIMEA SHAMBANI. |
Shirika hili
limehakikisha wakulipa wanapata mafunzo juu yauharibifu wa mazao zaidi ya 80
ikiwemo mahindi mpunga mtama unaotokanana mdudu hatari ajulikanaye kama kiwavi
jeshi
MUHINDI ULIOHARIBIWA NA MDUDU HATARI WA MIMEA AJULIKANAYE KAMA KIWAVI JESHI |
Hata hivyo
wamewawezesha mabwana shamba wa kijiji hicho cha chemba kufahamu jinsi ya
kumdhibiti mdudu huyo kabla ya kuathiri mimea shambani
Kwa upande
wake mtaalamu wa taasisi hiyo ya TPRI bw maneno chidege ameeleza juu ya
utumiaji wa viuwatilifu na kuwaasa maafisa hao kuisambaza elimu walioipata kwa
wakulima katika maeneo mbalimbali.
Bw chidege
ametoa ushauri na kusema kuwa wakulima hao wanapaswa kutumia viuwatilifu
vilivyo sajiliwa na vinavyo uwa wadudu hatari ,kudhibiti wadudu kabla
hawajaingia katika mwili wa mmea ,kutumia viuwatilifu kwa muda sahihi,kuepuka
mchanganyiko zaidi ya kimoja kwenye pampu ya dawa na kutembelea shamba mara kwa
mara.
No comments:
Write comments