Msanii kutoka Arusha Harryvice ametoa nyimbo yake mpya,ngoma inaitwa pamela na amefanyanya na mtu mzima Magga v kutoka pande hizi hizi za Arusha.
Video hii imefanyika Kalizone ikiwa imesimamiwa kwa uzuri kabisa na mtu mzima director first born na kutengenezwa na producer Fex.
Ngoma imegharimu zaidi ya million moja kwanzia maandalizi mpaka kukamilika kwake na ni bonge moja la video
Cha kufanya ni kuitazama pamela ili kutoa support kwa msanii Harryvice pamoja na Magga V.
KAMA HUJAPATA NAFASI YA KUIONA VIDEO YA PAMELA.ITAZAME.
No comments:
Write comments