Theme images by MichaelJay. Powered by Blogger.

Visitors

Search This Blog



Instagram

visitors

display number of visitors

Popular Posts

Pages

Youtube



Flickr Images

Like us on Facebook

Instagram

Facebook

Tuesday, March 6, 2018

JOYCE NDALICHAKO: Watumishi wenye ajira mbili watolewe Mara moja akiwemo..

waziri wa elimu prof joyce ndaichako ametoa agizo la kusimamisha kazi watumishi wote wa umma katika wizara yake walio na ajira zaidi ya moja  hasa taasisi za elimu binafsi akiwa  katika ziara yake mkoani arusha katika chuo kikuu cha mountmeru.

katika ziara yake waziri wa elimu amemfuta kazi felix sanyangwe aliyekuwa mdhibiti ubora wa  shule ambapo mwaka 2015 alihamishiwa monduli lakini anaajira ya kudumu  chuo kikuu cha mountmeru ambaye alijiuzulu na kutoroka alipopata taarifa ya ujio wa waziri huyo.

Prof ndalichako pia alisema kuwa kwa mujibu wa kanuni za utumishi kifungu cha f4 na f7 kinazuia mtumishi yoyote wa umma kuwa  na ajira mbili na iwapo atabainika kuwa na ajira zaidi ya moja atapoteza ajira katika sekta ya utumishi wa umma.

Katika ziara yake pia amesisitiza kupanda kwa  alama za ufaulu katika chuo hicho kwani hakuna chuo chochote kinacho toa alama ndogo za ufaulu kwa wanafunzi hapa nchini.


No comments:
Write comments

Interested for our works and services?
Get more of our update !